NNRWA Senior Member Joined Jun 24, 2013 Posts 103 Reaction score 74 Mar 29, 2025 #1 Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏 Attachments VID-20250329-WA0003.mp4 4.8 MB
Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,912 Reaction score 34,451 Mar 29, 2025 #2 Cha Arusha kikiisha kichwani uje na bei halisi
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 7,944 Reaction score 20,981 Mar 29, 2025 #3 Fanya elfu10, pia hujasema ni kuku wa umri gani, wa mayai au nyama, chotara au? Ongezea vinyamanyama mkuu.
Fanya elfu10, pia hujasema ni kuku wa umri gani, wa mayai au nyama, chotara au? Ongezea vinyamanyama mkuu.
NNRWA Senior Member Joined Jun 24, 2013 Posts 103 Reaction score 74 Mar 29, 2025 Thread starter #4 Nomadix said: Fanya elfu10, pia hujasema ni kuku wa umri gani, wa mayai au nyama, chotara au? Ongezea vinyamanyama mkuu. Click to expand... Haitalipa mkuu nishaongeza vinyamanyama😂
Nomadix said: Fanya elfu10, pia hujasema ni kuku wa umri gani, wa mayai au nyama, chotara au? Ongezea vinyamanyama mkuu. Click to expand... Haitalipa mkuu nishaongeza vinyamanyama😂
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 7,944 Reaction score 20,981 Mar 29, 2025 #5 NNRWA said: Haitalipa mkuu nishaongeza vinyamanyama Click to expand... hapo sawa, fanya bei sasa wateja waje make kuku wengi wanatoa kwa TZS 15,000/=
NNRWA said: Haitalipa mkuu nishaongeza vinyamanyama Click to expand... hapo sawa, fanya bei sasa wateja waje make kuku wengi wanatoa kwa TZS 15,000/=
yellow java JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 1,283 Reaction score 2,332 Mar 29, 2025 #6 Aisee
NNRWA Senior Member Joined Jun 24, 2013 Posts 103 Reaction score 74 Mar 29, 2025 Thread starter #7 Nomadix said: hapo sawa, fanya bei sasa wateja waje make kuku wengi wanatoa kwa TZS 15,000/= Click to expand... Mkuu kama upo serious njoo na 23,000/= saize ya juu na 20,000/= saize ya kati hizo ndizo bei zangu za mwisho siongezi wala kupunguza
Nomadix said: hapo sawa, fanya bei sasa wateja waje make kuku wengi wanatoa kwa TZS 15,000/= Click to expand... Mkuu kama upo serious njoo na 23,000/= saize ya juu na 20,000/= saize ya kati hizo ndizo bei zangu za mwisho siongezi wala kupunguza
Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,180 Reaction score 22,801 Mar 29, 2025 #8 NNRWA said: Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏 Click to expand... Nahitaji wawili nipo Dar
NNRWA said: Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏 Click to expand... Nahitaji wawili nipo Dar
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 16,029 Reaction score 26,235 Mar 29, 2025 #9 Ninahitaji watano, Niko Sikonge,Tabora
NNRWA Senior Member Joined Jun 24, 2013 Posts 103 Reaction score 74 Mar 29, 2025 Thread starter #10 peno hasegawa said: Ninahitaji watano, Niko Sikonge,Tabora Click to expand... Asante mkuu samahani sitoweza kukuhudumia, nahudumia waliopo Arusha
peno hasegawa said: Ninahitaji watano, Niko Sikonge,Tabora Click to expand... Asante mkuu samahani sitoweza kukuhudumia, nahudumia waliopo Arusha
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 7,944 Reaction score 20,981 Mar 29, 2025 #11 NNRWA said: Asante mkuu samahani sitoweza kukuhudumia, nahudumia waliopo Arusha Click to expand... sawa mkuu nilidhani unatuma mikoani.
NNRWA said: Asante mkuu samahani sitoweza kukuhudumia, nahudumia waliopo Arusha Click to expand... sawa mkuu nilidhani unatuma mikoani.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,859 Reaction score 119,072 Mar 29, 2025 #12 NNRWA said: Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏 Click to expand... Comrade, tuwekee pia na picha za hao kuku na mawasiliano yako. Si unajua tena Eid inakaribia.
NNRWA said: Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana🙏 Click to expand... Comrade, tuwekee pia na picha za hao kuku na mawasiliano yako. Si unajua tena Eid inakaribia.
NNRWA Senior Member Joined Jun 24, 2013 Posts 103 Reaction score 74 Mar 29, 2025 Thread starter #13 Tate Mkuu said: Comrade, tuwekee pia na picha za hao kuku na mawasiliano yako. Si unajua tena Eid inakaribia. Click to expand... Karibu pm mkuu
Tate Mkuu said: Comrade, tuwekee pia na picha za hao kuku na mawasiliano yako. Si unajua tena Eid inakaribia. Click to expand... Karibu pm mkuu