KUKU WA NYAMA WANAUZWA

KUKU WA NYAMA WANAUZWA

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Wauzaji wa kuku wa nyama kwa bei nzuri rejareja na jumla jumla
Mahali Iringa
Eneo kihesa
Ukitaka niambie tufanye biashara
 
Eh haya matangazo yenu ya biashara bana. . Sasa bei nzuri ndio nini? Hao kuku uzito wastani kilo ngapi kwa mmoja?
 
Bei ni elfu 7 mia tano (7500/=)kama unachukua wengi sana punguzo lipo pia
 
Kuapload kunazngua EB nielekezeni maana naweka bado inaniambia you cannot post empty post
 
Wauzaji wa kuku wa nyama kwa bei nzuri rejareja na jumla jumla
Mahali Iringa
Eneo kihesa
Ukitaka niambie tufanye biashara
mkuu naomba tuwasiliane nahitaji mayai kutoka iringa, nadhani tunaweza fanya biashara maana uko huko.
0788812958
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom