Kuku wa nyama wa kisasa

The Dark Father

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
1,144
Reaction score
1,412
KUKU

AINA: Broiler (Nyama wa kisasa)

UMRI: wiki 7

UZITO: (range) kilo 2.1 mpaka 2.5

HALI: wazima, hawajachinjwa wala kunyonyolewa

MAHALI: Dodoma Mjini

BEI: 7000 (non-negotiable)

Mawasiliano zaidi: PM; kwa ajili kupata mawasiliano na mhusika.


***Picha zitafuata baada ya utatuzi wa matatizo ya kiufundi***
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…