CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 915
Kaka Hapo Watapimaje? Kumpasua Sipendelei Maana Ndio Wameanza Kutaga Na Huyohyuo Dr Alinishauri Niwape MultivitaminChukua mmja mpelekee docto wa mifugo ampime watakua wanakosa madi flan atakupa majib
Ning'iniza Mbao ndogo ndogo ndani ya banda wazichezee ili kuwafanya wawe busy,hawatakumbuka kudonoana tenaHabari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini Wandugu
Sawa Mkuu, Nimewawekea Ila Nitaongeza NyingineNing'iniza Mbao ndogo ndogo ndani ya banda wazichezee ili kuwafanya wawe busy,hawatakumbuka kudonoana tena
Ni Chokaa Ipi, Hii Ya Kujengea Au Kuna Specific ChokaaWalishe chokaa kwenye mchanganyikk wa chakula chao haraka hayo madin yanapo pungua madhala yake ni kama hayo kisha wahi kwa wataalamu wa mifugo waliokaribu
Namba Yangu Hiyo 0715488421, please Naomba MniunganisheHalafu njoo kwenye makundi ya whatsup,wafugaji wapo wa kukupa Ushauri
Nimeku Inbox MkuuJina mkuu
Asante, Nitafanya Hivyo Ila Taa Nilishawazimia Kitambowakate midomo pia taa zipake rangi nyekundu
wape DCP kwa wingiHabari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini Wandugu