Kuku kuvunjika mguu

Daka Moro

Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
38
Reaction score
33
Naombeni msaada wenu,nawejaze kumtibu Kuku aliyevunjika mguu kwenye goti? Asanteni.
 
Ni afadhali umchinje tu!
 
mfunge kwa vijiti vidogo vilivyo pasuliwa katikati kisha vibane kwa uzi katika mugu ulio teguka
 
mwone Makonda anatoa miguu bandia na baiskeli za kutembelea
 
Kuna watu wengine humu nuksi sasa mtu mzima wauliza swali kama hili kindergarten afanyeje tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…