amatuks Member Joined Jul 17, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Jun 27, 2017 #1 Habari zenu Wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye biashara. Mimi nipo Dar.
Habari zenu Wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji kuku aina Chotara majike yanayokaribia kutaga idadi 10. Nataka kuanza ufugaji. Kwa yeyote anayeuza tafadhali aniPM na bei tufanye biashara. Mimi nipo Dar.
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,752 Reaction score 24,119 Jun 27, 2017 #2 Pm mimi
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 834 Jun 27, 2017 #3 Ninayo ya miezi 3 na nusu