Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,762 Reaction score 4,978 Jun 4, 2020 #21 Sample ya wa sh.25,000/=hiyo hapo Attachments 20200603_130157.jpg 130.3 KB · Views: 21
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,762 Reaction score 4,978 Jun 4, 2020 #22 Usihofu mkuu
ubuntuX JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 1,998 Reaction score 2,242 Jun 4, 2020 #23 Ambition plus said: Bei ya mbuzi,ajabu Click to expand... Makumbusho pale kwenye yale mabanda kuchi jogoo kuanzia laki mbili.jamaa bei zake nzuri
Ambition plus said: Bei ya mbuzi,ajabu Click to expand... Makumbusho pale kwenye yale mabanda kuchi jogoo kuanzia laki mbili.jamaa bei zake nzuri
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,632 Reaction score 6,497 Jun 4, 2020 #24 ubuntuX said: Makumbusho pale kwenye yale mabanda kuchi jogoo kuanzia laki mbili.jamaa bei zake nzuri Click to expand... Kuku laki mbili? Hawahawa kuku ambao tukienda nyama choma tunauziwa kuku choma mzima kwa 15,000?
ubuntuX said: Makumbusho pale kwenye yale mabanda kuchi jogoo kuanzia laki mbili.jamaa bei zake nzuri Click to expand... Kuku laki mbili? Hawahawa kuku ambao tukienda nyama choma tunauziwa kuku choma mzima kwa 15,000?
ubuntuX JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 1,998 Reaction score 2,242 Jun 4, 2020 #25 Mlolongo said: Kuku laki mbili? Hawahawa kuku ambao tukienda nyama choma tunauziwa kuku choma mzima kwa 15,000? Click to expand... Yah. Pia kuna eneo mikocheni kuna kuku wa urembo nimesahau jina lake wako pair(dume na jike) wanauzwa laki 7.ni wadogo wadogo hivi hivi
Mlolongo said: Kuku laki mbili? Hawahawa kuku ambao tukienda nyama choma tunauziwa kuku choma mzima kwa 15,000? Click to expand... Yah. Pia kuna eneo mikocheni kuna kuku wa urembo nimesahau jina lake wako pair(dume na jike) wanauzwa laki 7.ni wadogo wadogo hivi hivi
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,762 Reaction score 4,978 Jun 4, 2020 #26 Baada ya saa moja nitakwenda walipo wakubwa tutaweka picha zao hapa muwaone.
ubuntuX JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 1,998 Reaction score 2,242 Jun 4, 2020 #27 Victor Mlaki said: Baada ya saa moja nitakwenda walipo wakubwa tutaweka picha zao hapa muwaone. Click to expand... Ninasubiri,mi ntahitaji mayai yao
Victor Mlaki said: Baada ya saa moja nitakwenda walipo wakubwa tutaweka picha zao hapa muwaone. Click to expand... Ninasubiri,mi ntahitaji mayai yao