Bado unahitaji mkuuWadau nahitaji vifaranga vya kuku aina ya kuchi, mwenye navyo anaweza nicheki.
Kama itawezekana aweke sample na bei umu
Mkuu hao kuchi unao, naweza kuhitaji. Unapatikana wapi, ni wa umri gani, bei ikoje ikibidi weka na picha.Bado unahitaji mkuu
Imekuwa mbali sana mkuuNipo Geita Masumbwe
Wapo wa rika zote mpaka mayai yao
Namba yangu ni 0712946988
Unaweza kusafirisha mpaka Pemba? Huku ndiko wana soko zuri.Nipo Geita Masumbwe
Wapo wa rika zote mpaka mayai yao
Namba yangu ni 0712946988
HapanaUnaweza kusafirisha mpaka Pemba? Huku ndiko wana soko zuri.
Hapana
Very possibleDar es salaam je?
boko basihaya ndio wapi huku maana sie watu wa meru atuielewi!Very possible
Boko Basihaya
Nipe bei nikupe oder nije kuwachukuwa hapo boko wakifika.Very possible
Boko Basihaya
Bei ikoje mkuu dadavuaNipo Geita Masumbwe
Wapo wa rika zote mpaka mayai yao
Namba yangu ni 0712946988
Hawa kuku wana kitu gani cha tofauti?1.Mayai @ 2500
2.Vifaranga months = 25,000
3.Tembe wanaokaribia kutaga@ 70,000
4.Tembe wakubwa waliotaga zaidi ya mara mbili@100,000.
5.Jogoo@120,000.
Tanbihi:-Siuzi jogoo wadogo na pia bei haipungui.
Bei ya mbuzi,ajabu1.Mayai @ 2500
2.Vifaranga months = 25,000
3.Tembe wanaokaribia kutaga@ 70,000
4.Tembe wakubwa waliotaga zaidi ya mara mbili@100,000.
5.Jogoo@120,000.
Tanbihi:-Siuzi jogoo wadogo na pia bei haipungui.
Watakua hawali chakula labda so hupat tabu ya kuwalisha.ahahahahahHawa kuku wana kitu gani cha tofauti?
Au wana kilo nyingi?
Ni wa kawaida kabisa tena wanaweza wakazidiwa uzito na kuku wengine.Upekee wao niHawa kuku wana kitu gani cha tofauti?
Au wana kilo nyingi?
Hizi bei ni za kawaida sana jaribu kufuatiliaWatakua hawali chakula labda so hupat tabu ya kuwalisha.ahahahahah
Hizo bei ni balaa
Okay poa boss.Ofcz mm sijawah fuga hao so bei sizfaham ndo mana nimeshangaaHizi bei ni za kawaida sana jaribu kufuatilia