Kuku chotara wanauzika zaidi sababu wana ladha kuliko hao wengine kwa namna bei utakavyoiset. Kwa mfano bei ukaiset 10,000 kwa tetea na 15,000 kwa majogoo, tukija kwa Broiler hawa wana faida kubwa in profit per time kwa mikoani ambako bei yao ni 8,000.