Ngeleja na matangazo yake ya kupunguza ukali wa mgao wa umeme ndio yanayoniacha hoi kwa sasa. Kumbe tatizo ni kubwa zaidi ya TANESCO yenyewe. Gesi ya kuendeshea mitambo hii ya kukodi haitoshi. Mafuta mazito ya mitambo ya IPTL hayapo ya kutosha. Mitambo yenyewe ya TANESCO iko hoi! Akina Symbion, Aggreko, IPTL wanakamua capacity charge kwa kwenda mbele!
Nenda sasa EWURA na bei ya mafuta. Wanajaribu kusimamia bei ya mafuta wasiozalisha wala kusambaza. Anyway. Matangazo yao ya bei elekezi kwenye magazeti yanasaidia vyombo hivi vya habari viendelee kuwepo angalau!Sawasawa mkuu, sasa kama mambo siriazi tunakuwa namna hii unategemea huyo anayeratibu chopa za CCM wamemtoa mbinguni?
huoni uchumi supermarket wanatangaza sukari kilo sh 2300 na wakati rais alisema iwe sh 1700
Mkuu Nyambala umenikumbusha mbali na hiyo dummy cheque!!!! Aides wa JK ni mbumbumbu!!!
Mkuu Nyambala umenikumbusha mbali na hiyo dummy cheque!!!! Aides wa JK ni mbumbumbu!!!
Nenda sasa EWURA na bei ya mafuta. Wanajaribu kusimamia bei ya mafuta wasiozalisha wala kusambaza. Anyway. Matangazo yao ya bei elekezi kwenye magazeti yanasaidia vyombo hivi vya habari viendelee kuwepo angalau!