Kukosekana kwa maji kwa baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam

Third Eye

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
373
210
Habari za asubuhi wanajamvi.
Kwa takribani wiki moja hivi kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa baadhi ya maeneo ya Dar kama vile Sayansi, Kijitonyama na baadhi ya maeneo ya Sinza.

Je hali ikoje kwenye maeneo yako? Isijekuwa ni tatizo pana zaidi lenye kuathili maeneo mengi. Pia kuna anayejua sababu au ni lini maji yatarudishwa?
 
Back
Top Bottom