Kukosea namba kwanipa msichana bikra

Dha JF raha sana aseeeee maana una badili mawazo kutokana na mijadala michanganyikoo
 
Reactions: lup
Ngoja nchekeeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: lup
Mkuu umepigwa changa la macho, itakua bikra ya kichina
 
Reactions: lup
Hizi Thread za mademu ndo zinaleta maisha magumu kwa raia. Member mpya Atajifunza nin...Toeni servers za mapenz ubongoni Khaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Reactions: lup
Bado tupo mkuu!!! Mi nawawakilisha kwa mbaaali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku zilizofuata akaja na hapo ndio nikaona nithibitishe..ukweli sikuamini kuona damu na ugumu wa kuingiza.
Nikawaza kumbe hata kukosea namba waweza pata kitu kipya...nafurahia siku aliyokosea namba..

Kama ni mgeni kutoa mwanamke bikra ni rahisi sana kupigwa changa la macho!!!
Mwanamke ukikaa miaka 5 tu bila kuingiliwa, siku ya kurenew njia mtu anaeza dhani ni bikra haswa kama dushe limeshiba!!!
 
Kaa hivyo hivyo Mkuu yaani Wewe na umri wote huo hujui kuwa siku hizi kuna Bikira za kubumba hapa mjini? Kumbe Wanaume ' wakuja ' bado mpo wengi sana humu mijini.
Ndo hapo!!! Watu tuko kutafuta ndoa!!! Si mnataka bikra... Tutawapa sasa!!! Ukija kichwakichwa na ushamba wako imekula kwako.
 
Ukweli ni mzuri ila shida anahitaji nimuoe ndani ya mda mfupi ujao na mimi sina mpango.... Xo suluhisho ni kuachana nae
Umeona sasa. Tayari unawaza kuachana nae.

Mmmhh! Hamna jema nyie
 
Reactions: lup
Lengo ni hyo bkra yake au ni kumuoa ili mtengeneze maisha ya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…