kukosea kuoa

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456

kama ningekuwa hakimu,na hata kama sheria ingekuwa imelalia upande wake,ningepindisha tu ilimradi ashindwe kesi.

msaada:naomba kujua toka kwa wanasheria hivi sheria inasemaji kuhusu hali kama hii?nimeshuhudia machangudoa wakikamatwa na kufikishwa mahakamani,hivi huu si zaidi ya uchangu?
 
Hapo natoka airtel nahamia tigo mtandao wenye mvuto
 
Hivi Sugu alivutiwa na nini hapo, au alikua amelewa.

Huyu sio yule FAIZAFOXY wa JF mwenye majibu yote ya ki imaan
 
apo sugu nasikia alisha telezesha cobra kama maratatu ivi kwenye hiyo 0712 eti bibie aka chomoa na yote ayo aliyaongea alivyo pokonywa mtoto.. so sugu ana kulaga izi mambo 0712
 

Yaani sijui jmaa kipi hasa kilimvutia hapo hata ,kweli mapenzi upofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…