kama jina umeliona wala usiwe na wasiwasi chuo kikifunguliwa issue hizo zinatatulika sana kama uchaguliwa mlimani nenda ofisi za dean of students /panaitwa yombo karibu na HALL 7 ukifika mlimani uliza ofisi za dean utaonyesha .kwa watu wa vyuo vingine uliza ofisi ya dean au registar