jacobian JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 417 Reaction score 158 May 15, 2016 #1 Wadau naombeni kwa Mwenye uzoefu na alie wahi kukopa au kununua Kiwanja kwenye taasisi za kifedha(Bayport, DCB bank, CRDB...) ivi , inakuwaje? Nataka kwenda moja wapo ambayo mdau utanipa positive attitude ! Plz ..mwenye uzoefu...
Wadau naombeni kwa Mwenye uzoefu na alie wahi kukopa au kununua Kiwanja kwenye taasisi za kifedha(Bayport, DCB bank, CRDB...) ivi , inakuwaje? Nataka kwenda moja wapo ambayo mdau utanipa positive attitude ! Plz ..mwenye uzoefu...
jacobian JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 417 Reaction score 158 May 15, 2016 Thread starter #2 Duu hakuna mdau
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,454 Reaction score 20,857 May 15, 2016 #3 Mkuu nenda katika hizo bank na taasis nadhani utapata majibu,