Mdau swissport wanatunza mizigo tu
Taratibu za malipo hufanywa na tra
1. Doc zote hutumwa tra long room kwa TANSIS SYS
2. Baada ya malipo kutoka utatakiwa kulipia ushuru kulingana na bei ulizo pewa
HAPO lzm ukubali kama kuna uplift kama hakuna basi utalipa kutokana na invoice yako
3. Agent unaye mtumia ndio anatakiwa akuongoze na hakuna malipo ya ushuru utakayo fanya bila kupewa receipt na unaweza kulipia ww mwenyewe bank yyt baada ya kupewa assessment note
4. Malipo ya swissport utayafanya wakati wa kuchukua documents na baada ya kupata release
Kama mzigo una storage