allan mongi jr
New Member
- Aug 7, 2013
- 3
- 0
ni uamuz wa manispaa ya morogoro ktk kile wanachodai kuweka mji safi,mwananchi anaekutwa anakojoa mjin morogoro analazima kulipa Tsh 50 elfu kama faini,sasa cha kusikitsha stendi ya vihiace na soko kuu la mji kunanuka maj machafu ya mitaro na ushuru unakusanywa kila cku,kuna maelezo mengine zaidi ya uonevu na ufisadi kwa hili?