Sales93 Senior Member Joined Mar 5, 2014 Posts 146 Reaction score 73 Aug 7, 2016 #1 Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.