Wakati mwingine kama hujisikii kuposti ni bora ukasoma na kupita tu mkuu:sorry:
hahahaaaa unaua mkuu.TBT washauchukua km kawaidaMe nikadhani umeandika kukatika kwa UUME! Bac nikafungua haraka haraka nijue uko pande zipi nikuwahishe hospitali... Ok any way, kwa kuwa umesharudi, wacha tufanye yetu sasa...
Contradiction!Ni Mara ya kwanza kwako kuona umeme umekatika? .....Sidhani km ni mgao wa kawaida ...