Kukata rufaa HESLB ndani ya siku 90

Kukata rufaa HESLB ndani ya siku 90

Kwa sasa mm naona ni busara kusubiri mpaka waseme wamekamilisha idadi waliyoitaka.
 
Daaa mi nimechoka. Bed nimekosa mkopo with two teaching subjects
 
Kama umepata mkopo na ikaahirisha mwaka wa masomo unaweza kupata mkopo mwaka unaofatia???
 
Kama umepata mkopo na ikaahirisha mwaka wa masomo unaweza kupata mkopo mwaka unaofatia???

karipoti chuo usajiliwe kisha ufuate taratibu za chuo chako katika kuahirisha mwaka wa masomo then peleka heslb taarifa kutoka chuoni kwako au hakikisha zimepelekwa bodi kwa kufanya hivyo ukianza utapewa loan ukija kuanza tena na huta apply loan na kwa maelezo zaidi piga simu namba za heslb utapewa mwongozo
 
Back
Top Bottom