Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,886
- 4,122
Ili kuepusha malumbano na hawa wakezaji wanaosafirisha mchanga nje, serikali inunue mchanga huo kwa kadiri ya hao ACACIA wanavyodai, alafu serikali yetu ipige mnada kwa bei japo ya 900bn tuingize fedha haraka, afu hizo karibia 400bn mnunuaji ajipatie faida,bila shaka hao hao acacia watanunua tu.
Zoezi hili liwe linafanyika kwa kushtukiza isiwe kila safari ya kontena tunadaka.
Tusipoteze muda na majadiriano mengine.
Ujanja kupata..
Zoezi hili liwe linafanyika kwa kushtukiza isiwe kila safari ya kontena tunadaka.
Tusipoteze muda na majadiriano mengine.
Ujanja kupata..