Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka Sabaya kumewagawa CCM. Ama kweli Anguko lao limekaribia

Usinipangie, kwangu mie samia ni dhaifu kwako ni imara.
Kwa dharula iliyotokea hussein mwinyi au majaliwa ndio wangefiti kuongoza hii nchi
Tukitaka Katiba ishughulikiwe mnatukebehi kuwa bado inafaa. Dr Remy alisema 'kifo hauna huruma'
 
Aisee pamoja sikubaliani na udhalimu unaofanyika na CCM Ila kuhusu Sabaya wacha atolewe kafara sababu ya kwake hayahusiani na ofisi aliyokuwa anaitumikia.

Mfano, kutesa watu ili wakupe hela, kubaka, kulawiti, kunyang'anya pesa za wafanyabiashara na kujimilikisha hizo pesa nk haya ni mambo ambayo huwezi kufananisha na wizi wa kura.

Hebu tutumie akili kidogo
 
Inaonekana huijui CCM wewe, yaani ccm ianguke kwa sababu ya sabaya.
give me a break
 
Ccm ina uwezo wa kutupa makapi pembeni hata mtu akiwa nani. Ccm ni chama cha mapinduzi 'revolutionary party' . Kinachukuaga maamuzi yenye maslahi kwa umma hata muda uongozi umepokwa na tabaka la fisadi huweza kuchomoa na kubaki chenye kulinda maslahi ya wavuja jasho...kwa hivyo ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…