Kukaa muda mrefu bila kusex kuna matatizo,?

Hakuna tatizo ila Kumbuka hata kimuangalia mtu na kumtamani kingono ni sawa na umezini nae...so unaweza kusema hujazini miezi sita kumbe you do it everyday...ndo maana inashauriwa kwa hatari ya dhambi ya uzinzi ni vema ukaoa
 
ila kwa ambao kisaikolojia wako sexually addicted madhara yapo has a wanaangalia porno mara mingi au wanaozini everyday ....
N.B ukiohisi usipo sex unapata matatizo may be your addicted
 
Unaona sifa mwenyewe kutumia maneno machafu?
 
Hakuna madhara yoyote...ila naskia mwanaume usipofanya zinakimbilia nyuma...kwaiyo ukae ukijua ipo siku utaomba msaada kwa buzitata akupige mkuki bila kupenda
Kwaiyo ww unajisifia kuwa firauni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…