pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Si unasikia watu wamebaka wanyama ? shauri yako..Habari ya usiku huu waungwana
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.nini madhara ya kukaa muda bila kusex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pastor unataka ukawafundushe waumini nn? Ndo unatafuta material ukuHabari ya usiku huu waungwana
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.nini madhara ya kukaa muda bila kusex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu mnanishambulia sana mm syo pastor Mimi ni shehe ,kwa hyo napenda sana pale kati naomba mnisamehe ,Mungu anisamehe,Mimi syo pastorMadhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu haya hapa
Nchi za wenzetu wenye sharia kali siwangekuwa wanaongoza kwa matatizo? Mbona waendekeza ngono Afrika ndio tupo hovyo kbs kila sekta na idara? Au tumedhurika kwa kuendekeza ngono?www.jamiiforums.com
Hayo ndio maneno sasaSi unasikia watu wamebaka wanyama ? shauri yako..
Madem wamejaa kibao, kwa nini usiwape haki yao na wewe uka enjoy life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina siku ya pili sijasex najisikia kuumwa
Si utaniWeee acha utani
Si utani