clemencemlai
Member
- May 3, 2010
- 24
- 2
Nakubali tuko macho hadi saa hizi, tunawazia ongezeko la posho za wabunge kama zingekuwa ndo zetu na jinsi ya kuzipangia matumizi. Twapiga mahesabu ya Alinacha.Mkuu unajua hata JF ni kijiweni pia??
Wewe unataka wakae wapi na kazi hakuna za kufanya au wataka waje kukuibia wakati wewe umeenda kazini?nimezunguka maeneo mengi hapa bongo nimekuta kunatabia ya vijana kukaa mahali fulani fulani wakiwa pamoja
bila kujali ni wakati gani wasiku.vijiwe hivi viko hata kwenye viwanja vya mpira,fukweni,pembezoni pembezoni .je kuna faida gani kiuchumi achia mbali kijamii na kiuchumi?
elew mada ww kwani we utazuia nn kama wanataka kukuibia ,huna cha kuibiwa wwWewe unataka wakae wapi na kazi hakuna za kufanya au wataka waje kukuibia wakati wewe umeenda kazini?
Tatizo ajila ni taabu na hata wakipata hazina tofauti na kazi za kikoroni kazi kwa siku unalipwa buku tatu no chakula sasa piga hesabu ule nauli na uje kuvaa kwa hesabu hizi ukipata ni bora ukae kuliko kufungwa minyonyoro ya kikoroni kima cha chini kikiwekwe fresh watu watafanya kazi.
jiulize kwanza wewe kabla ya kuuliza watu upate aidia ili uje ridhika na majibu utakayopata
wala hii si mada bali ni mjadala wa kuhamasisha ubaguzi wa sisi tusio kuwa na ajira za kwenye viyoyozielew mada ww kwani we utazuia nn kama wanataka kukuibia ,huna cha kuibiwa ww
hapo sio ajira iliyo rasmi kwamantiki hiyo bali ni ubangaizaji tu kiasi kwamba nani kaja na janjawala hii si mada bali ni mjadala wa kuhamasisha ubaguzi wa sisi tusio kuwa na ajira za kwenye viyoyozi
ajira zetu hupatikana kwenye vijiwe,kunasehemu mnakaa wanakuja matajiri kuchua vibarua hujawai kuona nini?heri yako uliye ajiliwa
elew mada ww kwani we utazuia nn kama wanataka kukuibia ,huna cha kuibiwa ww