J jordan johnson Member Joined Sep 15, 2017 Posts 5 Reaction score 4 Oct 14, 2017 #1 habari wana jamiii forum ni imani yangu mu wazima wa afaya ninaomba kujuzwa kujuzwa utaratibu wa maombi ya kujiunga na na chuo kama jeh muda ulio tolewa bado au umekwisha tafadhali msaaada juuu ya hili
habari wana jamiii forum ni imani yangu mu wazima wa afaya ninaomba kujuzwa kujuzwa utaratibu wa maombi ya kujiunga na na chuo kama jeh muda ulio tolewa bado au umekwisha tafadhali msaaada juuu ya hili
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 855 Oct 14, 2017 #2 Umeisha tar 10/10
thA goD JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1,943 Reaction score 1,858 Oct 14, 2017 #3 Pole lakin..
Uswiss JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 840 Reaction score 2,169 Oct 14, 2017 #4 kama ni diploma au certificate unaweza kuomba kwenye chuo husika.. ila kwa degree umeshachelewa
N Nelly Adrian New Member Joined Oct 5, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Oct 15, 2017 #5 nutnux said: kama ni diploma au certificate unaweza kuomba kwenye chuo husika.. ila kwa degree umeshachelewa Click to expand... Ukiomba wanapokea kwa ngaz ya diploma???
nutnux said: kama ni diploma au certificate unaweza kuomba kwenye chuo husika.. ila kwa degree umeshachelewa Click to expand... Ukiomba wanapokea kwa ngaz ya diploma???
Uswiss JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 840 Reaction score 2,169 Oct 15, 2017 #6 Nelly Adrian said: Ukiomba wanapokea kwa ngaz ya diploma??? Click to expand... jaribu kuna baadhi ya vyuo bado wanapokea vyuo kama SAUT mwanza, IAA arusha na chuo cha ushirika moshi..
Nelly Adrian said: Ukiomba wanapokea kwa ngaz ya diploma??? Click to expand... jaribu kuna baadhi ya vyuo bado wanapokea vyuo kama SAUT mwanza, IAA arusha na chuo cha ushirika moshi..