Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,198
- 1,289
Acha ujinga. Nenda ndugu wanalipa vema. Ina maana wakati watafuta taarifa zao hukuona masuala ya malipo? Unatengeneza CV nzuri wakati huohuo wanalipa hela nzuri ingawa wao wanaiita hela ya kujikimu ambayo inakua ni monthly stipendWakuu nilipokalibia kumaliza chuo nilijaribu kutafuta connection maana mtaani kugumu, Basi nka apply volunteering at UN, baada ya miezi mitatu kupita mara paaaaaa! Natumiwa sms kuwa nimechaguliwa kuwa UN volunteer, sasa me ni mwalimu bado nasaka shule ya kufundisha..
Sasa sijui nifanyeje, sijui kama UN wanatoa ata posho au unajitolea tu, wakuu anayejua kujitolea katika UN naomba mnipe detail zaidi, karibu
HasanteAcha ujinga. Nenda ndugu wanalipa vema. Ina maana wakati watafuta taarifa zao hukuona masuala ya malipo? Unatengeneza CV nzuri wakati huohuo wanalipa hela nzuri ingawa wao wanaiita hela ya kujikimu ambayo inakua ni monthly stipend
Kwahiyo?Hello Naitwa Steven Audax ni
Business consultant/ public speaker /Entrepreneur
Nitafte kwa Namba 0752085869
Mbona maswali yako magumu kama vile ww ni jinsia ya upande wa piliKwahiyo?
Daah watu mnataka mirejesho wabongo nomaa kujisahaurisha hamtakiUlienda? Tupe mrejesho kiongozi wanakulipaje