Kama biashara zako zitakuwa haziathiriki na kufanya kujitolea hapo halmashauri nadhani hakuna tatizo ila kama zitakuwa zinaathirika na unaona biashara yako inao uelekeo naunga mkono hoja ya mtangulizi wangu.habari zenu wana jukwaa,
Ni mda umepita nilikuja na thread ya kuomba kazi lakini bahati mbaya sikubahatika niliendelea kufanya biashara zangu ndogondogo adi sasa,leo nakuja kwenu kuomba ushauri na kupata mawazo tofauti nmepata nafasi ya kujitolea katika halimashauri mpya wilaya fulan morogoro kwa lengo la kupata uzoefu na kupata advantage ya kazi pindi zitakapotangazwa ndani ya halmashauri naomba ushauri wapendwa je ni hatua nzuri?au nisubiri adi ajira mpya zitakapotoka bado nipo njia panda,msaada wa mawazo tafadhali
biashara zangu hazitaharibika sbb ni ya kuhamishika alafu ni sehemu ambayo bado hapan fursa sana yani ndo mji unaanzaKama biashara zako zitakuwa haziathiriki na kufanya kujitolea hapo halmashauri nadhani hakuna tatizo ila kama zitakuwa zinaathirika na unaona biashara yako inao uelekeo naunga mkono hoja ya mtangulizi wangu.
kwani hamna zile ambazo wana ajili halmashauri pale pale,kwa watu wa certificate na diploma?ajira za halimashauri zinatolewa kupitia utumishi, hata ukijitolea hawana mamlaka ya kisheria kukuajiri nakushauri endelea na biashara hadi utumishi watakavyoanza tena kutangaza ajira ndio uapply
Wenye Certificate hufanyiwa interview na halmashauri direct baadhi ya diploma nao hufanyiwa interview direct na halmashauri but kama una degree usithubutu kupoteza Muda unaeza jitolea utumishi wakamuallocate mtu kuja hapohapo na position uliyokua unajitolea, labda kama utafanya kwa lengo la kugain expirience na exposurekwani hamna zile ambazo wana ajili halmashauri pale pale,kwa watu wa certificate na diploma?
ahsante kwa ushauri bahati mbaya sina degreeWenye Certificate hufanyiwa interview na halmashauri direct baadhi ya diploma nao hufanyiwa interview direct na halmashauri but kama una degree usithubutu kupoteza Muda unaeza jitolea utumishi wakamuallocate mtu kuja hapohapo na position uliyokua unajitolea, labda kama utafanya kwa lengo la kugain expirience na exposure
walijua wew mwiz i nin?Ila mimi niliomba kujitolea halmashauri fulani ipo mikoa ya kusini nikaambiwa hawachukui watu wa kujitolea, wanataka staff nzima iwe kama one tight family bila kuingiliwa na watu wa nje ambao hawajaajiriwa.
walijua wew mwiz i nin?