Kujitambua na Taifa linalojitambua

nkungu mwere

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
258
Reaction score
336
Nimepitia sekeseke linaloendelea hapo Kenya kuhusu bei ya mafuta nikajua kweli wenzetu wanajitambua,na sie wa Tanzania tumelala,fikiria Serikali imeweka kodi kidogo kwenye mafuta itakayofanya mafuta yawe bei juu,yaani huo mtiti si wa kawaida,si jaluo wala kikuyu wote wamekuja juu na mahakamani wameenda hadi mahakama imezuia ongezeko hilo.

Ajabu huku Tanzania Serikali inaondoa umeme wa TARIF 4 ambao uliwawezesha wanyonge wasio na matumizi makubwa kulipa 9000 tu na kupata unit 70 kufanya TARIF1 yaani kama ulikuwa unatumia unit 70 kwa mwezi inakubidi ulipe si chini ya sh 25000/30000,ili upate unit 70,na bado watu wanashangilia,,,,,kutoka 9000/=mpaka 30000/= kwa mwezi mijitu haishtuki!!!kweli ukishindwa kuongoza wa TZ hata mbuzi huwezi ongoza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana tunaongozwa na kichaa kwani sie in wa bora liende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…