briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Kitu kikubwa kinachowaburuza wengi katika upande usio sahihi wa kisiasa na matokeo ya siasa ni kutokujitambua. Ila kujitambua pia ni ndugu mmoja na elimu sahihi. Hivyo inaposisitizwa elimu elimu elimu ujue ndiko mwanga wa kukumulika ili ujitambue unakotokea.. Ukikosa elimu nzuri na sahihi utajipata mjuaji na ukiwa mjuaji lazima utaangukia katika upumbavu....