Kujisajili program ya quickbooks 2010 premiere version

Kujisajili program ya quickbooks 2010 premiere version

dreamcatcher

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
10
Reaction score
0
JAMANI, naomba kwanza nitangulize maombi ya msamaha kwa kutohudhuria katika jukwaa kwa muda mrefu kidogo... safari za mbali na majukumu mengi... nilitingwa. nisameheni wakuu.

nomba pia niwasilishe tatizo langu lililonisibu na kukaribia kunitia wazimu. nimekuwa nikijaribu kujisajili katika program hii ya QB 2010. ila inatoa demands kwamba kujisajili kwangu kuwe kwa njia ya simu tu. najaribu hata kutumia account yangu ya QB ili nifanikishe online, hainiruhusu. sasa, kila nifikapo pale ambapo natakiwa kuingiza namba yangu ya simu na area code, nifanyapo hivyo, wananikatalia wakiniambia kwamba tarakimu zangu hazijajitosheleza. kisha wao hukata simu!

sasa, jamani wakuu... nimeona nikimbilie kwenu! nisaidieni :frusty::frusty:
 
Wasiliana na agent wao wa South Africa kwa simu watakusaidia
 
yes, zizon... naanza na +255 then biz number wanayotaka...? still at it!
 
Kama hiyo QuickBooks umeipata kihalali utakuwa na aina mbili za namba:

(i) QB Registration number na
(ii) QB Key

Itakapokuuliza uisajili, unatakiwa "activate" kwa kutumia QB Registration number. QB Key inatumika unapofungua kampuni mpya. Utakapochagua Phone Registration, itakupa sehemu ya kuingiza QB registration key.
 
avatar124351_6.gif Hili tatizo nimeona hutokea kwa watu wanaotaka kuupdate Quickbooks online(Si unajua software nyingi tunazouziwa sio Original kutoka kwa Manufacturer) au huwatokea walioinstal demo, imewahi kunitokea hivyo nikinikiupdate, ikanipa option ya kuactivate kwa kujiregister. na usipofanya hivyo Quickbooks inakuwa demo. kuhusu format za no za simu TZ haziko compatible na format za nchi nyingi as far as number of digits are concerned.
Solution niliyotumia.

kwa Quickbooks 2010 nili instal upya ila unatakiwa uwe na.
1. Licence number
2. Product key
na kila nikiambiwa QUICKBOOKS UPDATE huwa naskip,
:focus:
au fanya kama alivyosema Vincent hapo juu
 
Back
Top Bottom