Wewe mbumbumbu elewa Dhahabu, Tanzanite na madini mengineyo unayo tambia yakikosa wateja yanakua mawe yakawaida kwa sababu huna teknolojia yakuyatumia wala huna matumizi nayo
Hizi hifadhi za wanyama pori wasipokuja watalii kushangaa na kununua wanyama zitageuka misitu adui kwahio jifunze kuwaheshimu wenye mamlaka wamekutangulia kimawazo usiwaze kama jiwe
Sent from my TECNO B1f using
JamiiForums mobile app