Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,038
- 7,454
Kwanza jifunze kutumia lugha za busara na sio matuso au kejeli, JF hairuhusu hiyo kitu.nsiwe najibishana m2 kumbe wenge..
Kwanini umeniuliza hili swali?Unaejua programming kwanza tuanzie hapo..
Kujua unachoongea hakubadilishi uhalisia.Mm cja guess wala cja kisia kisia najua nnachoongea
Kwanza jifunze kutumia lugha za busara na sio matuso au kejeli, JF hairuhusu hiyo kitu.
Pia unaenda nje ya mada kwa kuingiza ambayo sijayaandika wala kuyagusia.
Jibu swali aliyegundua law of nature alifundishwa na nani?
Kwanini umeniuliza hili swali?
Kujua unachoongea hakubadilishi uhalisia.
Hiyo inaapply kwa watafuta ajira na vilaza.Naona una interprete unavyotaka ww . Km ww unadhani kujua programming nakuwa computer scientists ni sawa then u better go back 2 xcul
Kugundua kitu sio sawa na hii topic hapa na ww ndio uneshikilia utadhani upo on point
Labda kwako wewe ndio utapata tabu mkuu na sio kila mtu.Narudia tena. Kujua syntax za language yoyote still utapata changamoto kutengeneza kitu kma compiler. Use ur mind ,
Mpaka naanza kuchukua hatua ya kujifunza programing nishajua tayari nini nataka na kwanini najifunza sijakurupuka na kuanza kujifunza kitu ambacho sijui nitakifanyia zaidi ya kutafuta ajira na pesa kama mleta mada.then mm naongelea kitu ambacho kipo tayari si zungumziii kuwa inventor au ww ushagundua kitu tokea
Uanze kuwa programmer
Ukijifunza vyote hivyo online kuna shida gani? Au unadhani haiwezekani kujifunza mwenyewe na ukaelewa?Kutengeneza kitu kma kile atleast ujue. Principal of compiler designing
Data structure and algorithms
Theory of computation
Engineering mathematics( especially: probability and queues
Mkuu mbona unaandika kama unagombana na mtu asiyekubaliana na mitazamo yako ambayo unadhani uko sahihi 100%Endelea kukazana na akili yako. Am done talking
Mbona unanishangaza mkuu.Ww ndio umeanza ku quote post zangu inamaanisha ww ndio hukubaliani na mtazamo wangu by then hujui uwezo wangu.. u just run around the bush
Mbona unanishangaza mkuu.
Wapi mimi nimequote post zako zaidi ya kuchangia uzi wa mleta mada alafu wewe ndo ukaniquote post namba #200 hebu kuwa na kumbukumbu.
Post namna gani hiyo ambayo nilikuqoete hebu iweke nikaione...?
👏umeongea vizuri sana mkuungoja niwape siri hii, wanafunzi wengi wanachukia kusikia mtu amejifunza programming mwenyewe sababu kuna watu wamesoma computer science mpaka wamemaliza hawajui hata kutengeneza simple website, unapokuja kumwambia mtu huyu kuhusu self taught inamuumiza sana sababu unakuwa kama unamprove wrong, nipo chuo kwa sasa naona wanafunzi wezangu wanachukia sana hasa pale ninapotoa project au kuitangaza, wengine wanakwambia mtaalamu utakuwa wewe , wengine wanapotezea hata hawataki kuona unafanya nini but deep down swala hili linawaumiza kuona wew unafanya kitu lakini wao hawana muelekeo wowote zaidi ya kumeza madesa ya chuo, kumbuka watu hawapendi kuona ukipiga hatua haswa ukiwa level sawa na wao au ukiwa chini yao , nipo chuo na naona chuki nyingi ninapo release project wengi ni wanafiki, jambo moja unalotakiwa kujua maandeleo ni jitahada binafsi wengi wapo kufurahia kuona ukishindwa.
Hivi MTU aliesoma BSC(Phy & Maths) mbona hizo kozi nyingi kasoma atashindwaje kujisomea computer language.Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo, na programming ni sehemu tu ya kuextend ideas za CS sio kwamba ndio kila kitu kwenye CS.Sasa iv subdiscipline nyingine ya CS inaitwa Data Science imeshamiri ,inahitaji foundation kwenye CS na statistics na yenyewe mkadandie kwa mbele kwa sababu mmekariri syntax za python.
Nionyeshe hao watu waliokaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wakazielewa ,na walijipima vp kwamba wamezielewa? Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo mkatengenezewe computational thinking ,mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!
We jamaa utakuwa bado uko chuoni. Si bure. Yan unaona kabisa haiwezekana kwa mtu kuwa programming progidy bila kwenda ku recite concepts za kwenye vitabu!? . Hapo niseme wazi labda sio ama vyuo vya bongo. Labda uniambie huko dunia ya kwanza. Kibongo bongo degree nyingi sana hasa hizi za tekinolojia zinawatoa weupe sana. Hadi hapo atakapoanza kufanya either kazi au kujitolea ndio atapopata picha ya nn alikuwa anasomea. Nyingi ya elimu za vyuo vya kitanzania ni " fragment education". Iko so abstract mpaka aibu.Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo, na programming ni sehemu tu ya kuextend ideas za CS sio kwamba ndio kila kitu kwenye CS.Sasa iv subdiscipline nyingine ya CS inaitwa Data Science imeshamiri ,inahitaji foundation kwenye CS na statistics na yenyewe mkadandie kwa mbele kwa sababu mmekariri syntax za python.
Nionyeshe hao watu waliokaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wakazielewa ,na walijipima vp kwamba wamezielewa? Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo mkatengenezewe computational thinking ,mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!
kama wew ni Ke njoo uanzie ghetto kwanguHi, mm nimemaliza chuo nina hamu sana kujua computer hasa programming, sijui nianzie wapi wakuu.
Duh,kama wew ni Ke njoo uanzie ghetto kwangu
Kweli,Nafundisha basics za developing,security,networking,web application,Os,ds & algorithms Bureeeee kabisaDuh,
Umemaliza kozi gn? Ili upewe guide inayoendana na ulichosomeaHi, mm nimemaliza chuo nina hamu sana kujua computer hasa programming, sijui nianzie wapi wakuu.