Meddick_Uwezo Member Joined Jul 21, 2018 Posts 54 Reaction score 27 Sep 21, 2018 #1 Habari wanajamvi swali langu ni hili hivi sababu iipi inachangia mtu kujifungua kabla ya muda yaani miezi 9?? Pia naomba kujua sababu inayofanya mimba kuharibika
Habari wanajamvi swali langu ni hili hivi sababu iipi inachangia mtu kujifungua kabla ya muda yaani miezi 9?? Pia naomba kujua sababu inayofanya mimba kuharibika
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 847 Sep 21, 2018 #2 Ngoj waje
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Sep 21, 2018 #3 Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi Magonjwa ya zinaa Magonjwa ya Kurithi Itilafu katika Kizazi Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto N. K n. K
Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi Magonjwa ya zinaa Magonjwa ya Kurithi Itilafu katika Kizazi Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto N. K n. K
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,807 Sep 21, 2018 #4 Salama, Magonjwa. Uzazi kuwa na tatizo Genetic problems. Kuamua mwenyewe. Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama.
Salama, Magonjwa. Uzazi kuwa na tatizo Genetic problems. Kuamua mwenyewe. Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama.
Meddick_Uwezo Member Joined Jul 21, 2018 Posts 54 Reaction score 27 Sep 21, 2018 Thread starter #5 RGforever said: Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi Magonjwa ya zinaa Magonjwa ya Kurithi Itilafu katika Kizazi Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto N. K n. K Click to expand... Kondo ndo kitu gani mkuu???
RGforever said: Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi Magonjwa ya zinaa Magonjwa ya Kurithi Itilafu katika Kizazi Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto N. K n. K Click to expand... Kondo ndo kitu gani mkuu???
Meddick_Uwezo Member Joined Jul 21, 2018 Posts 54 Reaction score 27 Sep 21, 2018 Thread starter #6 Jumong S said: Salama, Magonjwa. Uzazi kuwa na tatizo Genetic problems. Kuamua mwenyewe. Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama. Click to expand... Genetic problem kama yapi???
Jumong S said: Salama, Magonjwa. Uzazi kuwa na tatizo Genetic problems. Kuamua mwenyewe. Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama. Click to expand... Genetic problem kama yapi???
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,785 Sep 21, 2018 #7 Meddick_Uwezo said: Genetic problem kama yapi??? Click to expand... Swali lako pana sana jamaa akishusha shule hapo wengi tutapoteana
Meddick_Uwezo said: Genetic problem kama yapi??? Click to expand... Swali lako pana sana jamaa akishusha shule hapo wengi tutapoteana