Kujiendeleza kielimu

kalooo 25594

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
303
Reaction score
195
Jamani naomba kufahamishwa wapi nitaweza kupata centre ya kufanyia mtihani kwa wale wanaorudia kidato cha NNE maeneo ya mwanza mjini kati na naomba nifahamishwe gharama zake na ikiwezekana na mengine kama yapo.Naomba kuwasilisha kwenu wana jamvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivumwe Sekondari jijini Mbeya unapata hata ukienda saa tisa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani jaman nina swali, hiv mwenye bachelor of science with education anaweza kuchukua master's gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…