Kuitwa usaili T.A chuo

Kuitwa usaili T.A chuo

Joined
Apr 6, 2013
Posts
74
Reaction score
14
Wadau mwenye kujua vitu vya kujiandaa zaidi,nimeitwa interview pale SUA.Nawasilisha,asanteni
 
Pitia vitu kama, mission, vision,organization structure ya chuo
Kwanini unataka kufanya nao kazi, departments walizinazo, unaelewa nini kuhusu SUA, duties and responsibilities kama T.A , future carrier,
Pia technical questions ( kwenye fani)
 
In addition
Unaweza kupewa topic uandae ppt na uilezee mbele ya panel au ukaambiwa uandikie topic yoyote unayoifahamu
Pia unaweza kupewa swali la practical ufanye kama fani yako ni technical then baada yahapo ndio unaenda kuulizwa maswali na panel
All the best
 
Andaa ppt hakikisha unaijua vizuri basi, kiingereza kama hujui hujui tu na kama unajua unajua tu hamna cha kujiandaa hapo. Mengine utayakuta hukohuko!
 
Back
Top Bottom