Habari zenu wote humu,, Jana jioni nimepigiwa simu na tcu kuhudhuria usahili tar 7 pale necta nafasi ya admission officer mwenye kujua aina ya maswali anijuze tafadhali,,
Habari zenu wote humu,, Jana jioni nimepigiwa simu na tcu kuhudhuria usahili tar 7 pale necta nafasi ya admission officer mwenye kujua aina ya maswali anijuze tafadhali,,
Kama ni nyomi jiandae kwa usaili wa written,ambayo written huwaga haina formular ila kikubwa jua duties&responsibilities za post uliyoimba na ijue taasis angalau kidogo iyo itakusaidia kujenga confidence ya kile unachoenda kufanya.......All the best Mungu akutangulie