ndisinzowa
Member
- Aug 18, 2010
- 86
- 14
Hi Jf Member,nilifanya interview mwaka jana sekretariet ya ajira mwaka jana kwa bahati mbaya sikuitwa kazini.wamenipigia simu na kuniuliza kama nipo tayari kupangiwa kituo nikawajibu nipo tayari wakakata simu.Sasa sijaelewa hapo nafanyaje baada ya hapo au niendelee kuvuta subira.Ushauri Wadau naitaji..Kitaa Kugumu
waulize waliokupigiaHi Jf Member,nilifanya interview mwaka jana sekretariet ya ajira mwaka jana kwa bahati mbaya sikuitwa kazini.wamenipigia simu na kuniuliza kama nipo tayari kupangiwa kituo nikawajibu nipo tayari wakakata simu.Sasa sijaelewa hapo nafanyaje baada ya hapo au niendelee kuvuta subira.Ushauri Wadau naitaji..Kitaa Kugumu
Bora ungekaa kimya tuwaulize waliokupigia
Nimeku PM mkuuBora ungekaa kimya tu
Bora ungekaa kimya tu
Haya bhana...sasa hayo maelezo ya ziada si ungeyaweka mwanzoni ili akuelewe kuliko kudai kwamba angeuliza kwenye hayo maongezi yale ilhali simu ilikatwa na hakujua kama ingekuwa possible to call back! Anyway ngoja nipige kimya basi.hata wewe ungekaa kimya tu
we differ very much
mleta mada kapigiwa simu, na tumeajiara hawatumii private number, unaruhusiwa kupiga kujua zaidi... ile ni public institution sio private
bora ungekaa kimya tu
NshakujibuNimeku PM mkuu
teh tehYesu mwenyewe alisema tumsubili...na ndio hivyo tunamsubili
Sorry kama umekwazika...Haya bhana...sasa hayo maelezo ya ziada si ungeyaweka mwanzoni ili akuelewe kuliko kudai kwamba angeuliza kwenye hayo maongezi yale ilhali simu ilikatwa na hakujua kama ingekuwa possible to call back! Anyway ngoja nipige kimya basi.
hahaha hii kiboko ,sina tabia hzo mkuu
Bahati imekuangukia. Kazi unayo tayari, yupo jamaa ninayemfahamu ilimtokea hivyo.
Ushauri: Epuka kugegendana, utakumbana na nuksi bahati ikapepea!
Ila kama siku uliyopigiwa simu uligegenda, mhusika ana bahati, usimwache!
It's fine broSorry kama umekwazika...
je wewe utapenda kuajiri mtu anayekimbilia mitandaoni badala ya ku call back?