Kuitwa kwenye usaili PPF


Acha hasira, hadi kitu cha bure unalalamika
 
Huku ni kuchorana sasa kama si zarau.. Kwa nini wasiwape secretariet ya ajira wafanye huu mchakato si ndo kazi yao.. Natamani vyombo husika walione hili wawashughulikie hawa washenzi.. Wanashindwaje ku shortlist na kuweka majina mtandaoni ili hata mtu kama anatoka mkoani awe na uhakika kwamba ameitwa kwenye usahili.. Sasa hao ma HR wao na viongoz wenye dhamana ya kuajiri wana kazi gani kama hata kushorlist wanashindwa au ndo watu wanajilia mishahara ya bure tu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…