PPF mafala nimepoteza muda wangu kuingua kwenye system yao kujaza,leo wanakuja na tangazo la kuita watu woote wande kwenye usahili,yani hawataki hata kujisumbua kushirt list??ina maana woote waliotuma maombi wana vigezo??Wapumbavu utaratibu tu wa ajira unaonesha ajira zao ni za kujuana,washaeka watoto wao!!
Sent using
Jamii Forums mobile app