Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Habari za asubuhi ,Majina ya vijana kutoka uraiani wanaoitwa kwenye USAILI katika JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI kwa ajili ya nafasi za konstebo na sajini zimetoka. GAZETI LA UHURU LA TAREHE 8/4/2016.

Kila la kheri Mkaokoe maisha na Mali za WATANZANIA KWA UADILIFU NA UZALENDO
 
1b6f737fb636c68af898d4cf176075da.jpg
91c4a0a6a6facba18eeafa4995d59f1d.jpg
703fe83cc2f157e30a5adc7e78d923f8.jpg
f226a881b9442eaba02913ad3c4d6d2f.jpg
924d4266d334e0bdec620fdb5a3a9d8a.jpg
e2e9525bf858dac753665891e1e9ba75.jpg
2d5285613a9b528cdabb65cfdc7b224b.jpg
340c06c74cc7b088e1c2cb77cd423ce9.jpg
4f95f8746f8a1d41d17c7b82368c9a50.jpg
 
Umekwenda kozi ya zima moto na uokoaji ?.Kama jibu ni hapana wala usijiangaishe jiandae kwenda kupiga shule kwenye chuo chao kipo Chogo village Kata ya Mgambo Kabuku zamani kambi ya wakimbizi toka Somalia.
 
Hivi kutangaza matokeo kwenye kijarida cha chama kilichopitwa na wakati kiasi hakina hata tovuti maana yake ni nini hasa?

Hakika huu ni usumbufu. Huku masaki gazeti la uhuru mtu atalitoa wapi? Au wanadhani wote walioomba wanakaa Keko?
 
Back
Top Bottom