Kuitwa kwenye usail KADKO

Kuitwa kwenye usail KADKO

ulimboka frackson

New Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Jaman polen na majukumu ya kila siku naomba kuuliza kuhusu KADKO tulio apply mwezi January, usaili lini?
 
Huyo atakuwa anaanzia kwenye usaili wa mchujo kisha ndio afanye wa oral...

Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
usaili wa awali tarehe 20 oral tarehe 22 piga hesabu siku utakayotoka dar kusubiri usaili zote mbili na kurudi.
 
Write your reply...vijana mnatafuta ajira halafu mnaogopa kupoteza pesa kwa ajili ya usaili? hata uchawi unagharama,wengi mnaowaona wana ajira gharama za hivi waliingia otherwise mtasubiri sanaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom