Unataka Tetesi ipi Mkuu Utaongopewa tu humu.Heshima yenu Wakuu.
Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.
Nawasilisha.
ONLY SHORTLISTED CANDIDATES WILL BE ONTACTED.....Ukiona Kimya Mzee, Endeleza Harakati Nyingine TuHeshima yenu Wakuu.
Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.
Nawasilisha.
Tulia mzee,utumishi watatoa tu majina chakufanya saiv wew jinoe tu pigilia misuli ili ukiitwa ukatimue vumbi la maanaHeshima yenu Wakuu.
Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.
Nawasilisha.
haya sasa mzigo ushatoka mzee jiandae ukapambane DuceHeshima yenu Wakuu.
Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.
Nawasilisha.
Na majina ya waliopita kwenye usaili wa mchujo ni lini yatatoka wakuu tujulishane
Leo saa tisa alasiri watatoa waliofanikiwaNa majina ya waliopita kwenye usaili wa mchujo ni lini yatatoka wakuu tujulishane
Leo saa tisa alasiri watatoa waliofanikiwa
Hata mimi pia naona ni saa16:26 mzigo bado
vuta pumzi mzee lazm watoe leo cz kesho ni oral inabidi zifanyikeMpaka sasa 17:17 naona kimya aisee...!