Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,786
...
Wakuu
SUMATRA wameita watu kwenye interview next week.
Mwenye kujua ni maswali gani huwa wanaulizaga au mtu ajiandae vipi ili afanye vizuri kwenye hiyo interview.
Kipengele walichoitisha ni cha kuhakiki na kusajili license.
Natanguliza shukrani
ni dada yangu mkuu...
alipigiwa simu alhamisi ya last week na pia wamemtumia na email....
jaribu kuangalia kwenye email yako uliyoiandika pengine walijaribu kukutafuta.