mbna tayari mkuu tangazo lipo kwenye tovuti yao
sanduku la posta nililotumia limefungiwa kisa halijalipiwa na mwenye nalo hayupo nchini kasafiri on top of that nimeitwa kazini je, nikienda bila barua mwajiri atanipokea?.........msaada wadau
Acha utani wako unapoleta mzaha kwenye maisha ya watu unakuwa kama hujielewi. Waliofanya interview za Tan Trade mwezi wa March mwishoni kwa nafasi zile za kuanzia watu hawajaitwa kazini. Acheni upuuzi wenu humu ndani.