bado siamini kwa kozi yetu tulichujwa kabla ya kuingia kwenye usaili baada ya usaili wakatuambia nyie ndo mliopita njooni kwenye vipomo kesho haiwezekani namba ya watu waliopigiwa simu ikawa ndogo kiasi hicho
Muwe na moyo wa uvumilivu kukaa na siri mioyoni mwenu,kama mnaomba nafasi za jeshi mlisha pewa utaratibu mnakuja humua kuanza kujadili mambo ya jeshi,hamuoni kama hapo mmesha feri huo usaili,tena mnaenda ku deal na idara nyeti ya afya ambayo inahusu ethics za kutunza siri,kama mchakato kidogo tu hivi mmeanza kuropoka kwenye mitandao,mkichukuliwa si ndio mtakuwa mnatoa siri za wagonjwa wenu,badilikeni.