Kuipata simu ilioibiwa..

Kuipata simu ilioibiwa..

Kasanjo

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
60
Reaction score
28
Nimeibiwa simu yang (samsung) n nna documents zote imei na risiti za io simu...Kama kuna mtu ashapata simu alioibiwa naomba aniambie alifanyeje
..
 
Nimeibiwa simu yang (samsung) n nna documents zote imei na risiti za io simu...Kama kuna mtu ashapata simu alioibiwa naomba aniambie alifanyeje
..
Ni vyema maana una supporting documents.
Fanya hivi

Nenda karipoti kituo cha polisi then watakupa RB pia utapata na mpelelezi.

Baada ya hapo kesi yako itapelekwa kitengo cha Cyber crime ambapo kuna dawati la Polisi linaloshirikiana na Mitandao ya simu na TCRA

Jarada lako litapekekwa TCRA kisha wao watajua kusa IMEI adress yako inatumika na mtumiaji yupi na namba ipi na ya mtandao gani.

Kisha itaandaliwa mitego jinsi ya kumnasa muhalifu.

NB. Hayo yote yatafanikiwa kwa Juhudi zako. Ninapo sema JUHUDI nadhani naeleweka vizuri.

Kama upo makini Guarantee simu yako unaipata.

Ila sasa isije kuwa ni Samsung J1 maana unaweza tumia gharama za Samsung S7 Edge kuipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom