Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

Nauliza swali simple tu,turejee nyuma 2005 na 2010 wakati mwanza na mbeya zikipewa hadhi ya jiji hivi zilikuwa zinafanana kimandhari na kimaendeleo kama Dom Leo? Maana miji hiyo haikuwa hata na vigezo by then
Mwanza ilikuwa na vigezo Kwa hiyo miaka huwezi kulinganisha na hako kamtaa ka wagogo
 
kuwa jiji au manispaa au kitongoji haikuhusu wewe mkulima na mfanyabiashara.


inamhusi mfanyakazi Wa serikali ambaye hulipwa posho kulingana hadhi ya mji.



katoro geita ni kijiji, lakini inakimbiza miji na manispaa kibao tu.
 
Sheria znamruhusu mhe. Rais kufany ivyo,,
 
Hajakosea isipokuwa ilitakiwa aorodheshe mikoa&. manispaa nyingine kuzipa hadhi ya jiji.Ningekuwa mimi mh ningetangaza walau manispaa mbili hata tatu ilinisionyeshe upendeleo na matumizi mabaya ya mamlaka
 
Ahsante kwa kunifahamisha, Mimi nilikuwa najiuliza imekuwaje Tanga kuwa jiji? Kumbe imetimiza vigezo vyote maana niliona Kama wameipendelea
 
Mimi sijaribiwi. Don't dare me
 
leo ukimwuuliza mkazi wa Tanga au Mbeya amefaidika nini na miji yao kupandishwa hadhi kuwa majiji miaka kadhaa iliyopita atakujibu haoni.
 
Uzuri wake mnapinga mitandaoni lakini kiuhalisia Dodoma ndo ishakuwa
jiji tayari...Dom city
 
I hope! the purpose of writing this ni kupata replies tu, otherwise u should work on ur judgement skills...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…