Katika kipindi cha hivi karibuni, tumeshuhudia mengi yanafanyika kujaribu kuwaaminisha watu kuwa fulami mbaya, mchafu, mwizi na hafai kusimamia utekelezwaji wa majukumu ya nchi. Katika vita hii, inaoneka chama tawala ambacho kimekaa madarakani kwa miaka takriban28 + 16 ndicho kinaonekana kumchafua mgombea wa chama chenye nguvu ya mpambano. Kwa muono wangu huu ni UDHAIFU MKUBWA SANA.
Binafsi sikubaliani nao na naomba kutumia fursa hii kuwaomba wanaoengineer mpango huu waache maana unazidi kupoteza nguvu zao. Kipindi kilichokuwa madarakani, kingeweza kutosha kabisa kuwafanya wananchi waamini kuwa hakuna mwingine anayeweza kufanya mambo mazuri zaidi.
Huwezi kupata maneno ya busara kuwaambia watu kwa mifano hai ya ulichotekeleza mpaka utafute mbinu za kumchafua mpinzani wako!! Cha ajabu halafu hata mpinzani wetu haonyeshi hasira, wala kuhangaika na hoja zetu. Tuache tunakimbiza wanachama wenye uwezo wa kufikiri. Tutabaki na mambumbumbu mpaka lini!! Mnatukera sana mpaka na sie tunaona bora tuu muadhibiwe! Maana hata kama unampenda sana mtoto, akikosea unamuadhibu huku unaumia.
Kabaki tuu Magufuli anahubiri atafanya nini, ukimuuliza chama chetu kimefanya nini anaweka mipango ya kuwaadhibu waliomteua. Nina wasiwasi nae anaweza siku akasema kama Bashe ubunge mpeni huyu... urais mpeni LWS!! Inasikisha sana.