Wadau ninayo simu aina ya Samsung Wave S8600 na inatumia OS ya Bada sasa nataka kuinstall Android OS, tafadhali mwenye kujua mtu anayeweza kuniwekea android OS au mwenye ujuzi wa jinsi ya kuibadili anijulishe. Natanguliza shukran zangu za dhati